Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

This goes out to the underdog
Keep on keeping at what you love
You'll find that someday soon enough
You will rise up, rise up,…


=============================
nimeipenda hii comment: maneno ya watu yasikuondoe kwenye mstari wa harakati kwani hakuna aijuae kesho yako
 
usijenge nyumba yako karibu na:
  1. makaazi ya watu wenye asili ya comoro
  2. makanisa madogo yanayopenda muziki
  3. msikiti unaosali huku spika zimefunguliwa mpaka nyumba ya 10 unasikia
  4. bar na klabu
  5. genge la mashoga
hao wacomoro kudadadeki zao wana sherehe za kimila, aigoooo leo ni mwendo wa muziki na harufu ya madawa ya ajabu ajabu mfano wa udi tokea asubuhi mpaka muda huu.


huyu bwege asili yake ni comoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…