Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Unajidanganya. Masukuma yote hovyo tu. Tena mabishi hayaambiliki. Makabila mengine yaliyostaarabika umekosa?
Si mnaona wenzenu wanavyolia?
Bi keafu mpendwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hapana hana sifa zile ulizoandika huyu kastaarabika mno.
Ni kweli wewe umeyaona? Mbona kama chai?Si mnaona wenzenu wanavyolia?
Imagine baba mkwe unampisha kitanda. Who does that?
Ni kweli tupu...
[emoji16][emoji16][emoji16]Ni kweli tupu...
Kwa Wasukuma kila kitu kinawezekana aisee...