moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nilijua siku nyingi ila unajificha [emoji3][emoji3][emoji3]huwezi kukimbia maumbile yako
dah nimepoteza pambano....
Nilikuwa natamani niiseme hii siri bora mwenyewe leo kajitambulisha[emoji3][emoji3][emoji3]
hapa sasa tutaongea lugha moja
nafkiri sitatumia tena nguvu kubishana na wewe
Haha
Salama aise, habari za siku?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu tangu kipindi kile cha 2017 nimekuacha humu bado umo unatafta likes
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tangu kipindi kile cha 2017 nimekuacha humu bado umo unatafta likes
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo humu ndani panachekesha tu mpendwa
Mkuu nimerudi mjengoniNilikushangaa kutuacha.
Hapa ni zaidi ya likes, jamiiforums hii sidhani kama kuna eneo lina burudani za kutosha kama au kuliko hapa
Sent using Jamii Forums mobile app