Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahahahha hii comment nmecheka sana mzee,kifupi binti anajua mzeeMzee mwenzangu inaonekana una mapenzi binafsi na Ariana
Sio za milele ila zingine zinadumu muda mrefu mnoDhoruba Huwa Hazidumu Milele [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1360637
Hahah!Hahahahha hii comment nmecheka sana mzee,kifupi binti anajua mzee
HahahHahah!
Nikweli anajua sana lakini pia una yako mengine kama mimi nilivyokua nina yangu kwa Camilla Cabello