Basi sijabadilika, kile nilokosa kale, na leo pia sinacho
Wala sijaongezeka, nilivyo ni vile vile, kipi kikurejeshacho?
Nawe wapaswa kumbuka, usirudi kule kule, kusiko ukizingacho
Ikiwa u muungwana!
Diwani: Machozi Yamenishiya
muandishi: mohammed ghassani