Yupo analea mpendwaHivi yule cocochanel yupo?
Heeh! Kumbe tayari wadau walishawekeza vyao?Yupo analea mpendwa
Usikate tamaa mpendwa jamaa ajajimilikisha kwa wazeeHeeh! Kumbe tayari wadau walishawekeza vyao?
Hongera zake
Hapana mpendwa sikua na hilo wazo kabisa sema tu nilikumbuka ubuyu wake alitupa hapa na kaka yako Moud aliufaidi kweli...Usikate tamaa mpendwa jamaa ajajimilikisha kwa wazee
Nimecheka hii comment umeanza kuiga utundu wa ningendako πππHapana mpendwa sikua na hilo wazo kabisa sema tu nilikumbuka ubuyu wake alitupa hapa na kaka yako Moud aliufaidi kweli...
Kuna sehemu ndio siwezi kukata tamaa kama kwa watu waliowahi kuona Vinyonga wakubwa na kufuga Kasuku
ππHealth is Wealth
Cranberries succeed almost all fruits and vegetables in disease-fighting antioxidants, including strawberries, raspberries, spinach, broccoli and cherries.
1 cup of cranberries in fact has a total of 8,983 antioxidant capacity.
Mimi nimesema ukweli mpendwa huyo Ninge muache na utundu wake tu πNimecheka hii comment umeanza kuiga utundu wa ningendako πππ
Si kweli huu mtego wallah ππMimi nimesema ukweli mpendwa huyo Ninge muache na utundu wake tu π
Hahah! Wewe mpendwa weweSi kweli huu mtego wallah ππ