Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwema ankoo, kumbikumbi za kuchemsha ndio zinakuwaje[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbikumbi ukitoka nao kwenye kichuguu hawachambuliwi, unawatia kwenye sufuria la maji lililoinjikwa jikoni, wanachemshwa bila kujali mchanganyiko wake kama wamo vyura, mchwa, mijusi... Watachambuliwa juani wakikauka wakati wa kupepeta mabawa...
Karibu sana ankoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…