Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mimi: Hii sketi nyeusi bei gani?
Umechanganya hiyo ni sifa ya msukumaManeno mengi na kujifanya anajua kila kitu [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1366261
Mbona kama binti hana mzuka??[emoji849][emoji849]Oh baharia...
View attachment 1366242
Ukiangalia bodi langueji kwy hiyo clip huyo aliyevaa blue hana raha..anajifanya kucheka tu kwa ajili ya kipindi..hamkaribii mumewe kama mwenzie...
Mdau wa kwanza nipo tayari leo sina kipingamizi kabisaNatamani kuendesha mwendokasi leo au mnasemaje wadau?
Davet
ningendako
Bradha
The Happiness
Kujeni m vote basi
Kwa uzoefu wangu, ukaaji wa midomo unaonyesha meno ya juu na chini hayajashikana....magego yanatetemeka...yaani tayariii kwa matumiziMbona kama binti hana mzuka??[emoji849][emoji849]