Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Ni yeye
Siamini ina maana na sura yangu hii naenda nae mrembo huyo
Hapana kwa kweli sio mimi picha nazitoa InstagramNi yeye
Mpendwa unanijaza upepo nijione pisi kali kumbe 😀😀😀
Mpendwa unanijaza upepo nijione pisi kali kumbe [emoji3][emoji3][emoji3]
Yupi kati ya hao nitayatishe sale au kijolaMpendwa si unajua dini yetu inaruhusu, nataka niongeze jiko
Picha yako niliyoiona inaendana na Hiyo.Mpendwa unanijaza upepo nijione pisi kali kumbe [emoji3][emoji3][emoji3]
Anne ukishikiria jambo sikuwezi😀
Ninge asione hapaHatari sana 🔝
Ni ukweli wenyewe huo[emoji3]Anne ukishikiria jambo sikuwezi[emoji3]
Ngoja na Mimi nistue stue Uzi na wakaka Hawa wazuri[emoji7]Wapendwa tukijaliwa kesho naona uzi kimya nikaona ngoja nistue na warembo wazuri
[emoji2][emoji2]ile hat trick leo hatulaliNinge asione hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee mwenzangu mimi nilisha left topic
Likes mbili hapo "chap".
Chukua hiyo.Wewe mbona hutoi? Wapenda kupokea tu?