carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hii ndo shape ya wema??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1366692View attachment 1366693
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Embu nipendelee mwenyewe ila tupange kwanza muda mana hatukawii kupishana [emoji2]
Mwili wote umepukutika.Mama mchungaji nakuona[emoji7][emoji7][emoji7]
Kura zilichelewa kupigwaHuu mwendokasi mbona kama utaniacha hivi hivii, au ninge atanihifadhiaa copy![emoji4]
Huo ndio mwili mzuri unataka unene kama wangu kamwili ka kuombea mkopo benk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza kuongezea akawa mke wa nneHuyo binti mrembo sana na ni mzuri pia, halafu hapo yupe "Masjid an Nabawi"
Na wale waliwi kama wasomali hivi.
Naona hata ile namba 8 imepungua
Mimi Sijambo kabisa, hofu kwako mrembo wetuHujambo mkaka m handsome
Nataka karudi Kama zamani.Huo ndio mwili mzuri unataka unene kama wangu kamwili ka kuombea mkopo benk
Kabla ya mida kufika itabidi tutest mitambo kidogo ila kama utulivu ukipatikana[emoji23][emoji23][emoji23]
Mida yetu ni ile ile au umesahau?
Mie niko poa sanaMimi Sijambo kabisa, hofu kwako mrembo wetu
Mtu akiachwa ndo anakonda?[emoji849][emoji849][emoji3][emoji3] uliachwa??
UsijaliKabla ya mida kufika itabidi tutest mitambo kidogo ila kama utulivu ukipatikana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ndo shape ya wema??
Follow meUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Au labda ndio kumuwaza yule beki mbili wa Liver😀😀 uliachwa??
Hujambo mkaka m handsome