ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,906
- 42,078
Huyu sijui alikumbwa na Nini hadi akabadilika hivyo.
Mwanzo kabla hajaanza kujibadili mwonwkano alikuwa mzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi juzi niliamua kuingia u tube kuangalia picha zake.Alikuwa hajiamini.
Nilisoma stori yake moja, anasema alipokuwa mdogo baba yake alikuwa anamkejeli kuwa ni mbaya.
Tangu hapo aliweka nia ya kutafuta uzuri kwa njia yoyote
Niseme ili iweje?Mbona hukusema
Maboya tu Hawa hawana lolote.
Mimi juzi niliamua kuingia u tube kuangalia picha zake.
Tangu mwaka 60 Hadi alipofariki..
Inasikitisha Sana..alikuwa na kipilipili kizuri tu Kama changu,rangi nzuri nyeusi...sasa alivyojibadilisha akawa kama mzee.
Alikuwa na pua nzuri ya kiafrika Mara ikabadilika,ukiiona utadhani imeshikizwa na gundi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niseme ili iweje?
Nacheka Na Wewe hapa ila nakumaindi vibaya mno.. yaani unazingua Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Maboya tu Hawa hawana lolote.
Sisi kuwaachia juzi naona wameanza kuachama achama Sana.
Ngoja tutawaonyesha kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuona umuhimu wa kusema kama vidogo tu umeshindwa kufanyaNaamini ungesema kuwa upo hapa, ungepata vyote unavyotaka
Yanga CCM mbele kwa mbele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumeipenda wenyewe
Klabu yetu wenyewe,
Na wavimbe wapasuke.
Acha waisome namba.......[emoji2089][emoji2089]
Huyo meneja wao wacha akenue tu,tutawaonyesha.Wakilanyaga Anfield watanyooka tu hao