Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
We Davet ujue umeniweka saa nzima nasubiri huo mkono upande wa juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anko acha kunipa kazi ya kwenda uyole.
😂😂😂😂 Oyaaaaah!Nitaomba kuona sura.
Yaliyobaki nitakuomba wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafurahi ukinibebea. Kutoka kwangu hadi kwa moud tukipitia ya Buza hata sio mbali sana, nitakufikisha
Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nitampokea mgeni usijali,ila mkanye apunguze ngebe.
Anaongea sana
[emoji3][emoji3][emoji3] bro umeona baraka zimejibu?
Jizazi 😔We Davet ujue umeniweka saa nzima nasubiri huo mkono upande wa juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mwalimu Nailo Mwakanyamale huwa nakujaga huko...Anko acha kunipa kazi ya kwenda uyole.
Mimi nakaa iwambi muda wote,nikitembea sana ni mwanjelwa.
Huko uyole nadhani nimewahi kwenda Mara 3 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana simjui bro
Usijali anko.Nitafurahi ukinibebea. Kutoka kwangu hadi kwa moud tukipitia ya Buza hata sio mbali sana, nitakufikisha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ankoo una haribu nyamazaaaaaa