Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kama zamani. Ila daah sijui kwanini r madrid imeporomoka sana
Nafurahi kwamba umekubali Messi kwa sasa anawatesa kidogo na zamani alikua anawateza sana 😀....

Hiyo kawaida tu mana timu haiwezi kuwa bora miaka yote tu lazima kuna kupanda na kushuka kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…