Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Nimeshambeba sana huyu ndugu yangu, lakini habebiki
Kweli harakati muhimu mzee ....Kwema kaka, mambo tu ya hapa na pale yanakuwa mengi, ila uzima upo
Pande zako vipi bro? Mambo yanaendaje?
π€£π€£π€£π€£π€£Nimeshambeba sana huyu ndugu yangu, lakini habebiki
Anasema notes ulimpa mfilisti etiNimeshambeba sana huyu ndugu yangu, lakini habebiki
Kaka yako hafai bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie huyoAnasema notes ulimpa mfilisti eti
π π π π π πNimeshambeba sana huyu ndugu yangu, lakini habebiki
Daah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani wakubwa wanafaidi sana.....
Binti mpole na Carba waone hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mechi ya liva wamezingua Leo.
Hopefully hii mechi nyingine itaenda vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema mtani?Mwambie huyo
Vijana wanahujumu furaha yako hawa[emoji23]π π π π π π
Ulininebeba kwa kunipindulia meza na notes ukaninyima...
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni zaidi ya Pep alichofanya pale SantiagoHahah! Kuipita hiyo post inahitaji ujasiri wa hali ya juu mzee mwenzangu
Hahah ngoja nikucheki mzee, ripoti imekamilika au nusu nusu?Kweli harakati muhimu mzee ....
Mambo yangu yapo kawaida tu sema nina report ya kukupa [emoji3]
Tatzo la mfilisti,akishamaliza kutumia notes, anazifanya mto, et matario yaingie vizuri kichwaniAnasema notes ulimpa mfilisti eti
Hakika akirudi hapa atakua mnyumbulifu sana πDaah![emoji23][emoji23]
Leo naona bro atakuwa na siku ya tofauti kidogo
Hahah! Full report mzeeHahah ngoja nikucheki mzee, ripoti imekamilika au nusu nusu?
πππππππ[emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni zaidi ya Pep alichofanya pale Santiago
Hahahπ π π π π π
Ulininebeba kwa kunipindulia meza na notes ukaninyima...
Shwari, mambo vipi?Kwema mtani?
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseeVijana wanahujumu furaha yako hawa[emoji23]