Replacing the "watch?v=" in a YouTube link with "embed/" can bypass age restriction, the ad on start, and play it in the full browser window without full screen.
In 2011, a financial advisor suspected that a colleague was ejaculating into her drink bottles after noticing a strange taste. Her suspicions were confirmed after she had her boyfriend ejaculate into a water bottle. Her colleague was fired and charged with assault.
EL Clasico ndo kama ulivyosikia. Lionel Messi na Barcelona yake alikuwa mwepesiii huko Bernabeu, wakati alipokubali kipigo cha mabao Mbili Bila kwenye mchezo wa La Liga kutoka kwa mahasimu wao Real Madrid.
Ushindi huo wa Real Madrid juzi Jumapili mbele ya Barcelona, si kwamba tu umewarudisha Los Blancos kileleni kwenye msimamo wa La Liga, lakini pia umewafanya kushinda mechi nyingi zaidi za El Clasico zinazohusu La Liga.
Barcelona yenyewe imefunga mabao 6,151. Mchezo huo wa juzi ulimfanya Vinicius kuweka rekodi pia ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga kwenye El Clasico katika karne ya 21, akivunja rekodi ya Messi.
Vinicius, 19, amefunga akiwa mdogo kwa siku 26 ukilinganisha na Messi wakati alipofunga kwenye El Clasico, Machi 2007, uwanjani Nou Camp kwenye sare ya 3-3. Lakini, ushindi wa juzi umeweka rekodi nyingine kwa Real Madrid wakipata ushindi wa kwanza nyumbani dhidi ya Barcelona tangu mwaka 2014.