Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mama mzazi wa mchezaji wenu anapoumwa nanyi lazima muumie, maana hilo laweza pelekea kuporomoka kwa uwezo wa mchezaji wenu ndani ya uwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna saa nawaonea wivu fans wa messi hawana hizi mambo za kusema mama ake messi hivi wala vile. Kwangu mie sijihusishi na familia ya cr7 akiporomoka kivyake keshafaidi mafanikio ya kila aina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…