[emoji23][emoji23]Naunga mkono hoja [emoji1][emoji1]
Nakuja pm.Naunga mkono hoja [emoji1][emoji1]
Hatarious ila juve ikifungwa huwa siumii bali napenda cr7 afunge japo kamojaKwakweli maana sasa Juve itafungwa uumie, cr7 asipotupia uumie bado usikie mama mtu kapooza uumie. Dooh!
Hahahah! Basi acha niungane na watu wa Burigi katika majibu yao[emoji115][emoji115][emoji115]watu wa burigi wameshatoa majibu yao
Bado watu wa upanga tu
Hapa hakuna baridi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Navyojua eneo hilo kwa sasa lina hali ya ubaridi baridi, kila mmoja anatamani kijoto joto.
Naamini ukitoka eneo hilo utakuwa umefaidi matunda ya eneo hilo na mabao yote tuliyofungwa utakuwa umeyafidia kiasi cha kutosha[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngumu hio
Take your eyes off of me so I can leaveI can’t love you in the Dark
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaaa
Ukirudi mjini nambie nije kupiga picha mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah! Basi acha niungane na watu wa Burigi katika majibu yao
Siwezi kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utaweza kweli kulea watoto wa kambo weye?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti tubao tutano tu wanatusumbua.
Tungefungwa Kama wao wacheza rede sijui ingekuwaje[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siwezi kabisaa
Watford 3 + chelsea 2 = 5[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Take your eyes off of me so I can leave
I'm far too ashamed to do it with you watching me
This is never ending, we have been here before
But I can't stay this time 'cause I don't love you anymore
Please stay where you are
Don't come any closer
Don't try to change my mind
I'm being cruel to be kind....
Waambie hao[emoji23][emoji23][emoji23]Bao tano chache sana, hizo tunazifidia ndani ya dk 20, kisha tunakopa na zile zote alizofungwa man United msimu mzima nazo tutazifidia[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app