Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
ππππππππ
Numby kutoka kwenye kinumbu kwa kiswahili kiazi kitamuNaomba kujua maana ya majina yenu kama hamtojali...
Numbisa (numby)
ningendako (niii)
myoyambendi (ben)
SHIMBA YA BUYENZE (shim)
Mkokaa (mk)
moudgulf (sijakusahau....Moody)
Hawachi (hawa)
Aya tulia sasa achana na mambo ya wahenga, soma tu post zetu utajifunza mengi[emoji23][emoji23][emoji23]ni kweli mzee, mimi nmekuta shuka la kimasai tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee, ngoja niwapishe kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aya tulia sasa achana na mambo ya wahenga, soma tu post zetu utajifunza mengi
Mbona chenchi yangu unaipangia matumizi ambayo hayakuwepo mzee? πMalizia ukanunua na shati la juliana[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anne wapi ule mguu soft wa davet anatusumbua hukuNgoja waje wahenga wenzangu ndio nitaelewana nao vizuri maana nyie tutasumbuana vichwa kutokana na utofauti wa generation zetu
Nilikosea kuliandika wakat najiunga humu, ila sahihi ni Nigendako, maana yake ni Mkiwa (mtu anayezaliwa baada ya ndugu zake wawili anaowafata kufariki wakiwa bado wachanga)Naomba kujua maana ya majina yenu kama hamtojali...
Numbisa (numby)
ningendako (niii)
myoyambendi (ben)
SHIMBA YA BUYENZE (shim)
Mkokaa (mk)
moudgulf (sijakusahau....Moody)
Hawachi (hawa)
πππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anne wapi ule mguu soft wa davet anatusumbua huku
Nmetulia bro[emoji23][emoji23][emoji23],nawasikiliza wahengaAya tulia sasa achana na mambo ya wahenga, soma tu post zetu utajifunza mengi
[emoji23][emoji23][emoji23]nmeacha bro, dahMbona chenchi yangu unaipangia matumizi ambayo hayakuwepo mzee? [emoji2]
Ilikua hatari hii kwanza kuipata tu mziki wake sio kitoto
Ilikua hatari hii kwanza kuipata tu mziki wake sio kitoto
Aiseeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kanichekesha sana
Safi kama umeacha ila hiyo chenchi nilimpa wife kipindi kile akalipe kodi ya chumba na chenchi ya chenchi alifanya shopping yake na kununua mahitaji mengine ya nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23]nmeacha bro, dah
ππππNmetulia bro[emoji23][emoji23][emoji23],nawasikiliza wahenga
Ndio nawaambia hapa hawa vijana wanaleta ubishi, vijana wa siku hizi bwana
Hio ya mia tu katoa boko je ya 200 sijui atasemaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]