Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Umesomeka mpaka kwenye gazeti la National japo kwa vificho sana ila umetishaππ#tayari[emoji124][emoji124][emoji124]
Safi.Mambo poa Anne, uzima upo huko?
Weekend inaendaje huko?
Aisee.Ndio,kwa niliowaona huku ninakokaa
Hajui huyu eti anataka vyapeke yakeHajui kama mko wachache na mnazidi kupungua[emoji23]
Huku ni kwema pia, Mungu ni mwema Anne
Hahah! Eti awe wako peke yako jamani π€£π€£π€£Mimi Ni mbinafsi Sana.
Nikienda nitampokonya awe wangu mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan huyu mtu hajakaa sawa kakufata busisi mara usagara kisha paaap anaishia kuita dada habari yako 55555ππ
Ila huyu Bradha huyu me siuwezi tena
Huu utundu ni ule wa gwaji boy au yule binti etu wa kenya?Hahah! Eti awe wako peke yako jamani π€£π€£π€£
Ili hayo yawezekane sasa unatakiwa uwe mtundu sana na ubunifu wa hali ya juu
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Hahah! Eti awe wako peke yako jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ili hayo yawezekane sasa unatakiwa uwe mtundu sana na ubunifu wa hali ya juu
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hahah! Kuelekea siku ya wanawake duniani kweli mwanamke unatoa kauli ya woga kiasi hichi? πππSijui kwanini nakosa ujasiri wa kuja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya mpango hata uweke hapa pulizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Bradha hana mitego,just imagine tangu aitege mwaka wa ngapi huu haujanasa hata ka sauti ka anne kakiomba picha ya mguu wakeUdada zone mai futi. Mtego huo ohooo !!!
Na hiyo jela aliyojifungia kutoka ndio hawezi tena. Daah! namuhurumia nauli alizokua anatumia ππYaan huyu mtu hajakaa sawa kakufata busisi mara usagara kisha paaap anaishia kuita dada habari yako 55555
Sijui kwanini Mimi Ni mwoga Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]Hahah! Kuelekea siku ya wanawake duniani kweli mwanamke unatoa kauli ya woga kiasi hichi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali naweka
Gwaji boy tupa kule hapa muache yule binti wa +254Huu utundu ni ule wa gwaji boy au yule binti etu wa kenya?
#opsssdhambihizi
ππππ broMzee.. Darasa huru
Hajui kama mko wachache na mnazidi kupungua[emoji23]
Ati Nini?[emoji23][emoji23]Hajui huyu eti anataka vyapeke yake
Nafurahi kusikia hivyo ningeHuku ni kwema pia, Mungu ni mwema Anne
Ubunifu upi?Hahah! Eti awe wako peke yako jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ili hayo yawezekane sasa unatakiwa uwe mtundu sana na ubunifu wa hali ya juu
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]