Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Nimeifuta hii sms ππππ[emoji23][emoji23][emoji23] ongeza sauti kidogo mpendwa, nyuma hatujasikia
Hata kwenye bus hakushuka. Jambo la muhimu ni kwamba, Stella ni binti mjanja janja kwenye mwandiko tu, ila ni kapole na kamejaa upendo.Mwenzio yuko kibamba kwa ankoo[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23]Nianze kuhesabu carba?
[emoji23][emoji23][emoji23]Umesomeka mpaka kwenye gazeti la National japo kwa vificho sana ila umetisha[emoji23][emoji23]
Aisee.
Nilijua Wana kiswahili tu Cha kukandamiza,kumbe wanakandamiza Hadi wake zao[emoji1751]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Eti awe wako peke yako jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ili hayo yawezekane sasa unatakiwa uwe mtundu sana na ubunifu wa hali ya juu
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nadhan ni huyo nimeona picha tu kakaa kwenye kochi kawaidaYa yule mdada aliye breach nywele?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan huyu mtu hajakaa sawa kakufata busisi mara usagara kisha paaap anaishia kuita dada habari yako 55555
Aiseeeh!Bradha hana mitego,just imagine tangu aitege mwaka wa ngapi huu haujanasa hata ka sauti ka anne kakiomba picha ya mguu wake
Tangu juzi ananizungusha tu[emoji26]Toka juzi hajakutumia picha Davet hebu itumie hii nafasi unaniangusha mpendwa [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sanaAiseeeh!
Una maanisha jamaa ni mzembe??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#raianyingimzee
Heheee!!Sijui kwanini Mimi Ni mwoga Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
Nionyeshe njia Basi[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tmk [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini usiwepo Anne?
Kwani leo unaenda wapi?
Waah[emoji23]Gwaji boy tupa kule hapa muache yule binti wa +254
#[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mama duniani cha kwako kaburi tu[emoji23][emoji23]
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeifuta hii sms [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Haya machimbo mengine sio kabsa,,connection inapatikana bado?