Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anneeee acha kutia ndimu kwenye kidondaaSiku ya pili hii unashinda njaa.
Funga yako ya Leo haihesabiki Tena..uende tu kula mama[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£π€£π€£π€£ jamaniHahahahha, na mimi nalisusa hilo jimbo lenyewe
Jimbo lako lina misukosuko sana TH. Usipokuwa makini linaweza hata kufutwa tu likaunganishwe na majimbo mengine huko....Hahahahha, na mimi nalisusa hilo jimbo lenyewe
Hahah! Tumpe card huyuNaona umepata fan [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Naona. carbamazepine umefanikiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hili jimbo linanipa presha kabisa, bora nipokonywe nijue moja kuliko matesoππ..dahJimbo lako lina misukosuko sana TH. Usipokuwa makini linaweza hata kufutwa tu likaunganishwe na majimbo mengine huko....
Ndo ushaachwa kimasikhara[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani
Hujambo lakini TH....Yani hili jimbo linanipa presha kabisa, bora nipokonywe nijue moja kuliko mateso[emoji24][emoji24]..dah
Jamani nakuachaje sasa? ππEmbu niacheee πππππ
π¬ π¬ Wakati nasikia wewe ndio umekuwa kiranja mkuu kwenye groupNumbisa ,carba na Davet.
Yesu akirudi Hawa watakuwa na la kujibu[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app