carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hebu muwekee tuoneNjoo nikuwekee hamna watu
#AbiriawanaendaKimbokasasahivi#daladalaimejaatayari[emoji16][emoji16]
Nilijua huku kwetu namtumbo
Sina usingizi kaka
Dc wa wapi??
[emoji16][emoji16][emoji16]#AbiriawanaendaKimbokasasahivi
[emoji3]
Kwakweli ....[emoji16][emoji16][emoji16]
Weekend hii
Umeupeleka wapi? Au ndo uko kwenye mkesha wa siku ya wanawake duniani?Sina usingizi kaka
Kuna mtu kahepa nao...Umeupeleka wapi? Au ndo uko kwenye mkesha wa siku ya wanawake duniani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama saiz naona raia zitakuwa zinachungulia dirishaniKwakweli ....
Sasa hivi muda ukipatikana kidogo tunafanya kikao fasta
Sahizi sio salama people zipo kimtego πKama saiz naona raia zitakuwa zinachungulia dirishani
Raia ziko kimkakati zaidi[emoji16][emoji16]Sahizi sio salama people zipo kimtego [emoji3]
ππ alafu umuwekee akija umuonesheHebu muwekee tuone
Nani huyo? Njoo nikukopeshe usingizi wangu ila utaurejesha na riba ya 70%Kuna mtu kahepa nao...
Mzima wewe?nimekukumbuka sana