carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mimi siuzi raia mzee wa miraa[emoji16][emoji3][emoji3] alafu umuwekee akija umuoneshe
Mbona riba kubwa hivyo?Nani huyo? Njoo nikukopeshe usingizi wangu ila utaurejesha na riba ya 70%
Niko poa wangu! Nimekuham zaidi best
Sent using Jamii Forums mobile app
Miraa 🏃🏾♂️🏃🏾♂️Mimi siuzi raia mzee wa miraa[emoji16]
Hahah!Raia ziko kimkakati zaidi[emoji16][emoji16]
Nimepotelea huku Nakapanya best!Mbona riba kubwa hivyo?
Unepotelea wapi siku hizi?
Mefurahi kukuona leo
Alafu mtu anakwambia hama nyumba ndogo