Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchezaji wenu leo yupo uwanjani akipambania timu yake isishuke daraja, wakishinda watatoka nafasi ya 19 mpaka nafasi ya 16 na wakipigwa au wakitoka sare watabaki hapo hapo walipo
Ikumbukwe game ijayo baada ya hii watakutana na Chelsea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…