Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini, amecheza mara mbili dhidi ya Man United msimu huu na mara zote timu hiyo ilifanikiwa kumzuia kuleta madhara ambapo alipiga mipira 25 tu kwenye boksi na timu hiyo ilifanikiwa pia kumzuia kutotengeneza nafasi kabisa katika mechi ya pili.
 
Hivyo msimu wa 3-5-2 umekuwa bora sana kwenye kuzuia hatari kutoka pembeni, ndiyo maana ulitumika dhidi ya Liverpool na pia dhidi ya Chelsea, mfumo huu ulizima hatari ya Pedro Rodriguez na Willian, hata dhidi ya Man City ulizima hatari ya Raheem Sterling, Phil Foden, Riyad Mahrez na Joao Cancelo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…