Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Na maugomvi mengi huko Serengeti sababu ni hiyo hiyo kama siyo chakula na mamlaka....Kelele nyingi unazosikia usiku za wadudu mbalimbali ni kwa sababu wapo wanajamiiana au wanajaribu kutaka kufanya hivyo.
Naona mieleke SmackDown wapo wanacheza bila mashabiki.
Hivi huu sio mwisho wa dunia kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Numbisa acha kuzingua ujueKuna zaidi ya 80,658,175,170,943,878,571,660,636,856,403,766,975,289,505,440,883,277,824,000,000,000,000 aina mbalimbali za kuchanga karata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu unajua jinsi Storage inavyopimwa?Wanapima tu si zinakamuliwa fresh na kuwekwa kwenye kipimo
Sasa wakati ndio unataka uanze kufurahia mwenzio keshamalizaKwa mujibu wa utafiti wa mtandao mmoja wa mahusiano nchini Uingereza, Mwanamke anahitaji dakika 16 mpaka 25 za kufurahia tendo la ndoa kabla ya kufikia kileleni.
Itakua ndugu mtaalamuNdugu unajua jinsi Storage inavyopimwa?
Inabidi hizo sperma ziwe zimetengenezwa kwa Bit 0,1. Bit zifike 8 ziwe byte,zifike 1024 ziwe kb.
ila nimejaribu kufikiria nimehisi labda wamechukua zile taarifa za mwanadamu zilizopo kwenye DNA labda hua wanaandika kila taarifa moja moja kwa maandishi then wanaangalia ukubwa wake. Mfano labda wanaandika UREFU then wanaangalia hilo neno urefu ambayo ni sifa iliyopo kwenye DNA limechukua Byte nganpi.
Kisha wanaainisha sifa zote zilizopo kwenye DNA na kuangalia zimebeb ukubwa wa Kb au mb ngapi.
Nawaza tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah
Kwani watu wa aina hii kuishiwa hela wanakawiaga basi?
Matumizi yao ya hovyo sana na huwa hawashauriki.....
Kila mtu inabidi apambane na hali yake [emoji16][emoji16][emoji16]