Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Unajuaje tamu hata hujalaLijipapai nene refu tamu....
View attachment 1395454
Anza na Ngosha the don[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].bado picha za wanaojiita wahenga.
Naanza mmoja baada ya mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] nazisubiria kwa hamu, kwa Anne najua zitatoka tu
Siku ulivyo niona ulichoka mwenyewe, unadhani kwenye picha nitabadilika? Thubutuuu...Nilikuwa kusalimia ndugu na jamaa.
Nimesharudi,.
Usidhani ukiongea hivyo Basi nitakusamehe,kwamba sitaomba zako[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
DaahSasa kweli mpaka kufika lodge hakujua kama hana msambwanda? Shwaiiniii !!![emoji16][emoji16]
View attachment 1395460
Ilikuwa ni tasfida. Wenye akili zisizo na akili kama zangu watakuwa wameelewa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] daah aisee, nimekusoma piaIlikuwa ni tasfida. Wenye akili zisizo na akili kama zangu watakuwa wameelewa [emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi wala hakuna haja ya kuomba....Hapo ni mwaka 2000 chuoni....[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nimekupenda bure ngosha[emoji16][emoji16][emoji16]Mimi wala hakuna haja ya kuomba....Hapo ni mwaka 2000 chuoni....[emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 1395461
Njoo tuyajenge sasa japo kumbuka hiyo picha ni 20 years ago nilipokuwa 55....
Mbona unanitisha? Hayo yote nayajuaNjoo tuyajenge sasa japo kumbuka hiyo picha ni 20 years ago nilipokuwa 55....
Sasa nimechakaa balaa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Haya basi. Mpira uko upande wako sasa [emoji39][emoji39][emoji39]
Hivi unawajua vizuri hao niliowataja?[emoji23][emoji23] nazisubiria kwa hamu, kwa Anne najua zitatoka tu
Sent using Jamii Forums mobile app