carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23]Siku ulivyo niona ulichoka mwenyewe, unadhani kwenye picha nitabadilika? Thubutuuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] naona naenda kujipatia mzee wa kisukuma hapaHaya basi. Mpira uko upande wako sasa [emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23] kwa Stella watashindwa wao nakuambiaHivi unawajua vizuri hao niliowataja?
Stella atashindwa mwenyewe[emoji23][emoji23]
Unashingo nzuri[emoji16][emoji16]Mimi wala hakuna haja ya kuomba....Hapo ni mwaka 2000 chuoni....[emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 1395461
Ila mafao nilishamaliza. Sorry [emoji1545][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] naona naenda kujipatia mzee wa kisukuma hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka tu bet??
Asante shemeji yangu kipenzi....Unashingo nzuri[emoji16][emoji16]
Hivi zinatengeneza kiuno kweli? Tusio na viuno tuchangamkie fursaHizi waist trainers wengine zinawaua. Mkihisi maumivu makali ya tumbo achaneni nazo. Mnaweza kuwa mmevibinya viungo vya ndani hasa figo na ini mpaka vimeshindwa kupumua. Hakuna faida ya kuwa na kiuno cha nyigu halafu uwe kwenye dialysis au mfu kabisa...
View attachment 1395468
Mimi mbona sina mbwembwe hasa siku hizi?Hivi unawajua vizuri hao niliowataja?
Stella atashindwa mwenyewe[emoji23][emoji23]
Hata sijui shemAsante shemeji yangu kipenzi....
Shingo kama hii kwa Kizaramo inaitwaje?
Jizazi.....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankoo naomba pichaaaa
Nimeona aiseh!
Mimi sifuati mafao kwako ngoshaIla mafao nilishamaliza. Sorry [emoji1545]