Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kile kisindano kinauma, me uwa kama najisikia homa na nnaenda Hosp najua kile kitahusika naombaga na kupimwa ukimwi ili atoe damu mkononi azigawanishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoma tena pima typhoid pia inaleta hicho cha malaria. Ila saiv kipo cha kubofya tu hata hakiumi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…