Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoma tena pima typhoid pia inaleta hicho cha malaria. Ila saiv kipo cha kubofya tu hata hakiumi sana
Ngoma ndio πŸ˜€πŸ˜€ Typhoid hata siumwi tumbo naanzaje kuomba kupimwa.
Hicho cha kubofya eti hakiumi, nakipata unakisikilizia chwiiiii
 
Ngoma ndio πŸ˜€πŸ˜€ Typhoid hata siumwi tumbo naanzaje kuomba kupimwa.
Hicho cha kubofya eti hakiumi, nakipata unakisikilizia chwiiiii
Aaah sasangoma kila kukichaukiipatamo kwenye vipimo je,wanasema atafutaye ataipata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…