Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kaka wa wili ,kwa majina James na John fent kutoka Spain, wali muuzia sheikh mmoja kutoka Dubai, picha bandia ya Francisco de goya (mchoraji maarufu wa karne ya 18) baada ya kumwaminisha picha iyo ilichorwa na Francisco de goya , na aliinunua kwa thamani ya Tshs bilioni 3.Jamaa baada ya kumuuzia sheikh uyo picha bandia, baadaye walikuja kutambua kwamba Pesa walizo lipwa nazo zilikuwa bandia.Walienda polisi kushtaki na sheikh alikamatwa lakini baadaye wote walifunguliwa mashtaka kwa kosa laku uza picha bandia na kutumia pesa bandia na baadae walifungwa.
 
Katika miji ya Hiroshima na Nagasaki Nchini Japani, miji iliyo haribiwa na bomu la nyuklia mwaka 1945, na kusababisha maelfu ya watu kupoteza maisha.Mpaka sasa Vivuli vya wengi wa watu hao vipo na vinaonekana katika pozi mbali mbali hii ikionyesha tukio la mwisho walilo lifanya punde bomu lilipo lipuka.Unaambiwa vivuli hivyo vimetokana na moto/joto kali lililo tokana na bomu hilo na kuchoma vivuli hivyo.Unaambiwa mabomu ya nyuklia yaliyopo duniani kwa sasa yana uwezo wa kuharibu dunia yote na kuifanya pasiwe na kiashiria chochote cha uwepo wa viumbe.
 
Elon Musk, mmiliki na mwanzilishi wa kampuni ya Space X, kupitia kampuni yake amethibitisha kutengeneza kifaa ambacho kitakuwa na uwezo wa kudukua na kutambua mawazo/fikra za binadamu pasipo yeye kujua.Lakini mamia ya watu wanapinga hatua hiyo wakiamini ni hatua ya kuminya uhuru wa binadamu, kwasababu kupitia kifaa hicho utaweza kujua siri za mtu binafsi pasipo ridhaa yake.Huku mamia ya watu wakikubali hatua hiyo kwa kuamini kwamba italeta uaminifu baina ya watu, kwa kuweza kujua mawazo yao, mfano katika mahusiano utaweza kudukua mawazo ya mwenzi wako na kutambua kama kweli ana kupenda au anachepuka.Pia ikumbukwe Elon musk alisha wahi kusema pia adi kufika mwaka 2040, watu hawato kufa tena kwasababu anaamini kupitia kampuni yake , tayari watakuwa wamesha fikia hatua ya kuweza kuzuia kifo cha msingi alisema watu wajitunze wafike mwaka huo.
 
KAMA ULIKUWA HUJUI HUYU NDIO TAJIRI OMBA OMBABwana Massu au kwa jina maarufu anajulikana kama Malana Khan ndio tajiri omba omba zaidi dunianiMalana Khan anayeomba katika majengo ya Lokhandwala katika jiji la Mumbai ana utajiri wa Rupia Million 300 ambazo ukizibadilisha kwa pesa za kitanzania ni zaidi ya billion moja Huondoka kwake asubuhi akiwa mavazi mazuri lakini akifika eneo lake la kazi hubadilisha mavazi na Akisha maliza kazi yake hurudi nyumbani lakini hufikia maeneo maalum yalio karibu na nyumbani kwake kisha hubadili nguo na kuvaa za kawaidaMalana Khan ana watoto 2 na mke 1Je ingekuwa baba yako ukagundua anafanya kazi ya kuomba omba lakini ana watimizia mahitaji yenu JE UTAMRUHUSU AENDELEE KUOMBA OMBA??
 
MWIGIZAJI mkongwe mwenye umri wa miaka 68 Mmarekani Michael Douglas ameweka wazi kuwa tatizo lake la kansa ya koo lilisababishwa na tabia yake ya kufanya mapenzi mdomoni (oral Sex).Nguli huyo wa filamu alifunguka alipofanyiwa mahojiano na gazeti la The Guardian la Marekani ambapo alikanusha tetesi ambazo wengi walikuwa wanaziamini kuwa uvutaji wa sigara na ulevi ndio uliosababisha yeye kupata kansa ya koo.Alisema ugonjwa alionao umetokana na maambukizi ya virusi vinavyojulikana kama Human papolloma Virus (HPV) ambavyo vinasababisha magonjwa ya zinaa.Douglas aligundua kuwa na kansa ya koo Agosti 2010, na akaanza kufuata matibabu ambapo alipitia hatua nne, lakini pia akapitia matibabu ya kina (intensive course of chemotherapy and radiation), na kufikia Januari 2011 alikuwa ameweza kwa kiasi kikubwa kupambana na maradhi hayo.ANGALIZO:Tulikuwa tunasubiri mfano, na huu ni mfano hai unaothibitisha kuwa penzi la mdomoni na kunyonyana nyeti zetu ni hatari kiafya kwa kuwa husababisha kansa ya koo ....Kuna njia nyingi za kuandaana kabla ya tendo. Hivyo si lazima tukatumia mdomo. ****KAZI KWAKO. ****
 
Hapo mwanzo mtandao wa YouTube ulikusudiwa kuwa sehemu ya kutafutia wachumba ukiwa na kaulimbiu isemayo "Tune In,Hook Up"Lakini watengenezaji wa mtandao huo hawakupata watu wakuweka video katika mtandao huo hata baada ya kuahidi kuwapa pesa
 
Wajapani wanaamini kuwa kila mtu huwa na sura tatu tofauti.Sura ya kwanza ni ile unayoionyesha kwa watu wasio kufahamu(walimwengu eg fb,Instagram etc😇)sura ya pili ni ile unayoionyesha kwa ndugu zako na sura ya tatu ni ile ambayo hujawahi muonyesha mtu yeyote na hiyo sura ndio hubabeba uhalisia wako
 
Huko kutakuwa hakuna wambea.
Hapa bongo wangekuwa washamjua Kama anafanya makusudi..ana uwezo Ila anaenda kuomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulia wakati umepatwa na jambo baya au kuumizwa na kitu fulani ni nzuri kwa afya yako.Machozi yanayotiririka wakati una maumivu makali huwa yanabeba kiwango kikubwa cha homoni za msongo wa mawazopamoja na hormone za kukurudisha katika hali nzuri ya kimawazo
 
John D lockeffeler anakadiriwa kuwa na utajiri wa dola za kimarekani kati ya billion miatatu mpaka dola billion mia nne($300 billion to $400 billion ) hii ni zaidi ya mara mbili ya utajiri wa Jef bezos ambaye nitajiri namba moja kwa sasa.John D lockeffeler alikuwa ni mwanzilishi na mmiliki wa kampuni ya mafuta iliyokuwa ikijulikana kwa jina standard oil company
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…