Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Alikuwa mzuri mithili ya malaika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikusaidiaje ya Prof
That cover ππππ€:Joyner Lucas
π΅:ADHD
β£Released:March 2020
β£Type:#Album
β£Genre:#Hiphop View attachment 1401299
Hahah! Twende kaziAlikuwa mzuri mithili ya malaika
Alipokuwa mjini....
Hakika alionekana alikuwa mgeni wa jiji
Nilipovua viatu nilivikuta ndani ya friji
Alifanya nanana washkaj wakanicheka
Hakutaka kitanda alilala kwenye mkeka
Alipokuwa akiona magari anakimbia
Akiona mtu kwenye tv anamwamkia
Nilipovua viatu nilivikuta kwenye tv
Hakai kwenye sofa alikuwa anakaa chini
Mafuta ya kupikia eti anayapaka mwilini
Kila alichofanya alikuwa anakosea
Nilimvumilia kwa kuwa hajazoea
Niendelee verse nyingine?[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli? mabaharia walio jirani watakuwa wazembe sana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hivi alimaanishaje hapo? Mparachichi!!!
Na hali ya hewa ilivyo huku Mungu apishie mbali asije akaangukia tumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
I see. Kapicha basi mkuuwasukuma wamezidi sifaa... wanasafisha meno kwa kutumia sanitizer
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwanaume wa mwanzo wa kinyakyusa kuvaa kondomu inasemekana alivaa mpaka kwenye korodani.
mwakakondomu atupile
Majirani walimpenda kwa sababu ya uzuri wakeHahah! Twende kazi
Habari ya leo rafikiAchana na huyu andaeitini.
Hamjui kalapina huyu..achana naye
Alikuwa bado mchanga kipindi hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππMajirani walimpenda kwa sababu ya uzuri wake
Nasikitika mashangingi wakawa rafiki zake
Akaanza kunywa pombe alipokwenda kusuka
Usiku anatoroka Tena kwa kuruka ukuta
Nilipokuwa natoka naye nyuma anatoka
Nikimtuma kitu anadai eti anachoka
Alifanya nanana washkaji wakanicheka
Nananana
Nipigiwa na butwaa mtaani walinishangaa nilikosa Raha hata nafsi ilikata tamaa
Kujua huyu binti Ni mzima au amekufa
Ilibidi niombe watu msaada wa kumtafuta
Kweli tulimtafuta kwenye nananan tofauti ili nihakikishe kweli hajapatwa na mauti
Nilipata nananan kutaka japo kumuona
Ingawa niliamini moyoni ingenichoma
Kumbe anaonekana viwanja vya kila Aina
Leo yupo na mzungu na kesho yupo na mchina
Nikamkuta sijuii Nini akigonga mvinyo
Na pamba nanana
Macho yanitoka mithili ya malaika
Nanannaa kumchombeza
Kwa pozi na dharau alijifanya amenisahau
Akaniona takataka mbele ya washika day
Ilibidi nirudi machozi yakinilenga shetani nanana na tunda langu kumeza
Akapata mimba aliyempa hakumtambua
Na wote aliowafwata....
Zubeda na mimba yake hakujua ale Nini na vipi apate rizki
Ghafla hifadhi yake ikawa Ni stendi ya Basi siku nyingine mvua ilimnyeshea kupita kiasi
Akarudi nyumbani eti arudiane nami kurudi kwao hataki mi nna familia ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
dah! camera imeungua lakini usijali nitaitafuta.