Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

CHAKUSHANGAZA
unambiwa kuanzia mida ya saa tisa usiku mpaka saa kumi na mbili alfajiri ,ni mida ya shetani,ghosts na wachawi ,na mambo mengi sana mabaya hutokea mida hiyo kama vifo ,pia ghosts ndomana kuanzia mida hiyo mbwa,paka,bundi na kuku ,huwa wana piga kelele sana kwasababu wana uwezo mkubwa wa kuona vitu visivyo onekana.. πŸ‘‰Unambiwa endapo kama sehemu unayo ishi(nyumbani kwako) ikifika usiku ,kuna kuwa na mazingira ya ajabu mfano ..baridi kali,upepo, harufu ambazo hazina chanzo,unasikia sauti zisizo elezeka,pia unaweza ukakuta mapazia yana pepea bila chanzo kama upepo,...jua basi kuna uwezekano mkubwa sana apo ni makazi ya ghosts/mizimu..au pia hiyo sehemu ulio jenga yalikuwa makaburi ya watu.. πŸ‘‰pia unambiwa siku ambayo unajikuta unakuwa muoga sana haswa wakati wa usiku unapoenda kulala ,basi jua kwamba siku hiyo ni rahisi sana kutembelewa na ghosts/mizimu kwasababu unakuwa una wapa uhuru wakukutawala.... ✨✨✨Usiku mwema kwa wote✨
 
Tulsa's Circle( mzunguko wa tulsa)/ the center of universy.

Hii ni sehemu, ya duara ndogo, inayo patikana katika, mji wa Downtown Tulsa, nchini Marekani..hii sehemu huaminika kama katikati ya dunia kutokana na maajabu ya sehemu hiyo.
Usichokijua ni kwamba , mtu ukisimama kwenye duara hilo na ukaongea , utaisikia sauti yako ikijirudia kama mwangi kwa sauti ya juu zaidi, na chakushangaza wale walio nje ya duara hilo hawato iskia sauti yako ata useme kwa saut ya juu...pia mfano mtu ukiwa ndani ya duara hilo, na ukatoa ushuzi/fart , waliopo nje ya duara hilo hawato sikia harufu, ila mwenyewe utaiskia tena harufu kali zaidi kihasi kwamba unaweza kukosa Oxygen....
 
Nchini Guatemala, kuna kanuni/sheria , kwamba kila kaburi(cemetary), linalipiwa kodi na hiyo kodi ina lipwa na kila mwanafamilia endapo kama kuna kaburi la mwanafamilia mwenzao alie kufa.
Usichokijua ni kwamba katika kibindi hicho cha ukusanyaji wa kodi ya kila kaburi, ikitokea mtu mmoja katika familia hajalipa kodi ,wanacho kifanya wanaenda kufukua kaburi hilo na kutoa maiti hiyo kisha wanaenda kuiweka mlangoni mwa yule asiye lipa kodi..
 
mnamo mwaka 1969 mwana muziki aliekuwa aki itwa JAMES ANTONY SULLIVAN ali record albumu yake ilio kwenda kwa jina la U.F.O(undefined flying object),katika hiyo albumu kuna nyimbo ambayo lyrics yake ili kuwa akisema " miaka kadhaa iliyopita ni liikacha familia yangu baada ya kuchukuliwa na ALIENS na kupelekwa jangwani" ..
 
baada ya mwezi kupita JAMES ANTONY SUVILLIAN ,alienda kituo cha polisi na kuomba msaada akisema ALIENS wanataka kuchukua maisha yangu..ambapo alinukuliwa akisema kuwa wamempa ONYO kwamba asitangaze ..lakini polis wali mpuza na kumwona kama mtu anae tafuta kiki kwasababu walikuwa hawa amini stori za aliens.
 
Miaka sita baadae JAMES TONY SULLIVIAN alipotea ,na baada ya kumtafuta walikuta gari lake likiwa limetelekezwa Jangwani huko mexico bila JAMES TONY...mpaka leo hii haijulikan mwana muziki james tony amepotelea wap?? ila wapo wanao amini itakuwa alichukuliwa na aliens...
 
THOMAS COSTELLO
Huyu alikuwa ni mkuu/mwenyekiti wa ulinzi katika shirika la siri ,katika department ya Dulce base.. πŸ‘‰Hii Dulce base ,Huaminika kama kambi, iliyopo chini ya ardhi,yenye maabara ,inayofanya kazi chini ya viumbe alien na binadamu, katika utengenezaji wa viumbe na vitu vya ajabu kama clone ya people, na utengenezaji wa lizard people..durce ni sehemu ya siri sana kwa miaka mingi ,inayo daiwa kupatikana ,huko Colorado -New Mexco,katika mji wa dulce mpakani ,katika nchi ya marekani..ambapo sehemu hii ilianza kufanya kazi mwaka 1979.
 

Sasa Thomas costello, aliaminiwa sana katika sehemu hiyo,na yeye ndie alie kuwa anahusika katika ulinzi,ili kuhakikisha kwamba siri za huko hazivuji..sasa baada ya kupita kipindi, huyu thomas alivujisha ,picha ,ambayo ilikuwa ikionesha viumbe aina ya binadamu, vikiwa ndani ya mifuko ,katika hauta ya kutengenezwa kwa viumbe hivyo...angalia picha ya πŸ‘† hapo juu ikionesha viumbe hivyo ,ambavyo vina muonekano kama wa binadamu.
 
Baada ,ya kuvuja picha hiyo ..na ukweli kuwekwa hazarani kuhusu utengenezwaji wa viumbe vya ajabu ,huko dulce kupitia viumbe alieni, habari zilisamba maeneo mengi na haikupita wiki, Thomas Costello pamoja na familia yake yote, ilipotea na haikueleweka wapi imepelekwa ,vyombo vya ulinzi ikiwemo CIA na vingine vimefuatilia kesi hiyo ,lakini mpaka sasa hawajafanikiwa kujua Thomas costello na familia yake wapo wapi... Baadthi ya watu wana amini kwamba alichukuliwa na alien baada ya kuvujisha picha hiyo.
 
Thomas Edson, alikuwa amepoteza fahamu kwa muda mrefu,akiwa hospitali ,kuna siku alizinduka ghafla ,na kucheka kwa sauti kisha akasema "Nilikwepo sehemu nzuri sana" mara tuu baada ya kutamka maneno hayo ,alikufa .
 
Thomas Edson, alikuwa amepoteza fahamu kwa muda mrefu,akiwa hospitali ,kuna siku alizinduka ghafla ,na kucheka kwa sauti kisha akasema "Nilikwepo sehemu nzuri sana" mara tuu baada ya kutamka maneno hayo ,alikufa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…