Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Umefuta post ila chief mkwawa anasema unaweza piga hadi gb 100 kama upo sehemu yenye net safiitabidi kwanza nitafute telegram (niliitoa kwa sababu maalumu)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeshatafuta setup ya torrent (huenda itanisaidia) kuipata jack ryan......
ole wake iwe mbaya (Ningedako atapata adhabu)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah! Coco hakumuelewa mrembo wako. Daah
😂😂😂
Storage ya device ilikuwa full nini?itabidi kwanza nitafute telegram (niliitoa kwa sababu maalumu)
Sijui na mimi nilikuwa wapi tu kudislike huyo manzi 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
version 2016 (ufala mtupu) haina hata playstore na nimejitahidi kufanya update mara kwa maraStorage ya device ilikuwa full nini?
nisivyowapenda wazungu...... kazi kwake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii site wapo vyema naona wana madini ya kutoshaversion 2016 (ufala mtupu) haina hata playstore na nimejitahidi kufanya update mara kwa mara
Jack Ryan - Season 01 - O2TvSeries
Hongera imenikosesha usingizi ujueBinnuru!
Hongera
Nyegere. Hatishiwi nyau huyu jamaa....
Asante bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Wale wa kushusha movies, sijui series, au chochote tumia hii link Privacy focused torrent search engine
Kwema mkuu?Asante bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]