moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nashukuru mkuu uzima upo. Tunasubiri kuianza siku mpya ya wiki mpya.Huku salama. Huko kwako kukoje?
Mungu Akatushike mkono wake wa kuume na kutulinda daima [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nashukuru mkuu uzima upo. Tunasubiri kuianza siku mpya ya wiki mpya.
Asalaam mkuu, kwema pande hizo?Asalaam Alyeikum ndugu zangu
Amina mkuuKumekucha,
Tumshukuru Mwenyezi Mungu
Siasa ni nomaRekebisheni kasoro ndani ya Chama. Kuna tatizo mahali...
View attachment 1403541