Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Karma....


Malipo ni hapa hapa duniani. Yaani unafanya dhambi sikweadi halafu unategemea ubakie salama?
 
Umeitoa wapi hii bro?

Sikuamini kabisa halafu. Nisije nikaanza kukuita shem soon...Usije tu ukamwangalia dadangu kwq macho yako yale leweshi yakawa mengine. Itabidi nimuonye to stay away aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] macho leweshiii,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Unakuta una iphone kali dem anashoboka na ww una nyegez mnakubaliana Maziwa hayaui ukinywa sumu Ile tuu kuanguka tayari Live Siunajua hakuna utamu kama UEFAiluna ali mwanariadha Mara paap Najikuta naongea peke yangu hahaahaa ivi kwnn gundi hainat kwenye kile chombo chake?๐Ÿ›‹๐Ÿ›‹
 
Umeitoa wapi hii bro?

Sikuamini kabisa halafu. Nisije nikaanza kukuita shem soon...Usije tu ukamwangalia dadangu kwq macho yako yale leweshi yakawa mengine. Itabidi nimuonye to stay away aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ daah!

Nimekutana nae huko kwenye uzi wa jamaa aliyetoswa kisa hana gari..... Huyu sister yako ni mtu poa sana, mcheshi na ana nidhamu sana naimani atakuwa rafiki yangu mwema.

Eti anasema umemuachia alama Moyoni mwake, nimependa jinsi anaonyesha shukrani zake ata bila uwepo wa muhusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ