Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Tunasubiria π
Kuna watu nimeona unawatumia weka na yangu huko
Kwani umeshaipata ile Avatar?
Nakumbuka siku ile umeleft safari ya kwenda Burigi ππMmenikumbusha Burigi, acheni tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnatamani amka na bbc au mnatamani ndoa? [emoji3][emoji3]
πππ rangoπππππ
Bibi, tutangazie donge nono hapa vijana tuingie kazini.
Chattle[emoji23][emoji23][emoji23]Mmenikumbusha Burigi, acheni tuu.
Ni njema pia.
Madonge nono yako π·πππππ
Bibi, tutangazie donge nono hapa vijana tuingie kazini.
Ahaa, basi tena.Nikajua ni nyingine.
Hapo nishasema kila kitu broππSema tu...... Na hivi umetangaza vita ndio ungechukulia advantage hapo hapo π
Tatizo Sina mtu anayekuja huko ArushaKuna watu nimeona unawatumia weka na yangu huko
Akikuweka ndani nae atakua anaamka na wewe badala ya magazeti yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunataka wa ndoa..
Ila bro wenu kila siku anaamka na magazeti
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo dar
Tatizo ameshaanza kuonyesha anapenda magazeti mapema hata kabla sijaingia ndani.Akikuweka ndani nae atakua anaamka na wewe badala ya magazeti yake