Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Ahsante, na kwako Pia.
ππππππ mtoto akililia wembe.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Mwana kuyataka, mwana kuyapata"[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Moudy mbona umecheka sana?/ [emoji23][emoji23]
Mzima?Kwasababu gani?
Support ur statement with vivid examplesHapa uzini kumejaa watu wajanja wajanja sana, vichwa!!πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtoto akililia wembe.....
Hapa uzini kumejaa watu wajanja wajanja sana, vichwa!!πππ
Ahsante nishapoa, muda wa kulala bado.Mzima?
Pole, nimeona uliumwa ....
Tumeamka half time au bado mda wa kulala?
πππππππAameeeee ariririririiiii [emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyema, huku ni kwema pia.Ahsante nishapoa, muda wa kulala bado.
Hali yako?
Hasa kwenye kupokea wageni huwa juhudi zako zinanifurahisha sana.Hapa uzini kumejaa watu wajanja wajanja sana, vichwa!!πππ
Jana aliambiwa eti hata kabla hajaomba pasi anahakikisha kwanza yupo katikati ya mabeki wa timu pinzani; hivyo wachezaji wajanja mahiri akina KD na Ninge wanashindwa kumpasia mpira. Nilicheka balaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hasa kwenye kupokea wageni huwa juhudi zako zinanifurahisha sana.
Shida uliyo nayo ni safu ya umaliziaji [emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafungaje wakati mawinga hawaleti mipira kati?Hasa kwenye kupokea wageni huwa juhudi zako zinanifurahisha sana.
Shida uliyo nayo ni safu ya umaliziaji [emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]kivipi bro
Basi tuu, kwa mijadala inayopitaga humu unaweza kuona watu walivyo na upeo mpana...Support ur statement with vivid examples