Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mgonjwa wetu wa Ngara amepona, tumemruhusu na hivyo amefanya idadi ya waliopona kufikia 3,
Mgonjwa wetu mwingine leo amepimwa kwa mara 9 na vipimo vinaonyesha negative na hatujapata kesi nyingine.
Wagonjwa waliobakia wanaendelea vema.
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…