Mbambadu
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 253
- 458
wewe jamaa kwenye keyboard yako inapatikana button moja tu.
toa like pata likes...... acha umbeya daemusin
Binti mpole tunakuona ujue.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Carba aliweka Yebo za watoto ndio Th akaja kusema "Tayari" akiwa na maana ya kwamba tayari Carba kapata mtoto
Zingatia ulikuwa ni utani tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]carbamazepine[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1407175
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sina utaalamu nayo bro
[emoji23][emoji23][emoji23] wakija wakina carbamazepine hapa watabadili maana
[emoji24][emoji24] mie mbona sikabirishwi