Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

✔✔✔
 
Mi siku nikifanikiwa sitaki mwanamke mpya.
Niliyetafuta naye kuni ndiye nitakaye ota naye moto.
Najua ukiwa na mkwanja mrefu kila mwanamke anajigongesha kwa kisingizio cha kukwepa nyodo za watu masikini
Sijui kama umenielewa moudy, hata masikini wapo wenye nyodo wanapofanikiwa hivyo tunaona bora nyodo za tuliowakuta matajiri hatutaumia sana kuliko nyodo za tulioanza nao kwenye umasikini hapo ndiyo inauma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…