Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama wewe. Ile ya mwanzo kabisa ile sijui uliiweka wapi. Ilinifanya nikuogope miaka nenda miaka rudi kumbe wala huogopeki kihivyo japo unaogopeka kiaina. Kama unayo hebu irudishe nipaniki kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]
Ya mwanzo kabisa ndio hii niliyoweka sasa hivi. We unazungumzia ile ya mkorea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…