Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hivi siku hizi ulishalegeza kamba za feminism au mwendo ni ule ule? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Teh, hivi yule siyo Kim Nana au nilimfananisha?
SawaNakuogopa
Hivi yule samaki anaitwaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona bro nae huwa ana usiku wa pipi na wayule samaki wa Baharini
Kidogo...si umeona Hali yangu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imekuvutia sana
Oohh basi ndiyo maana nami naipenda avatar ile kuliko avatar zako zote ulizowahi kuweka huko nyuma na utakazokuja kuweka huko mbeleni.Ni Kim Nana yes
Mweeh, kwani lini niliwahi kuwa feminist?Hivi siku hizi ulishalegeza kamba za feminism au mwendo ni ule ule? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji16][emoji16][emoji16] Ngosha The Don anadai nikiweka ile ndio ananiogopa wewe unasema nikiweka ile ndio nakuwa mpole nishike lipi?Oohh basi ndiyo maana nami naipenda avatar ile kuliko avatar zako zote ulizowahi kuweka huko nyuma na utakazokuja kuweka huko mbeleni.
Sababu mie siyo mpenzi wa movies wala series za kikorea, ila city hunter ndiyo series pekee ya kikorea niliyoweza kuiangalia hadi mwisho na nikaipenda. Nyingine zote nilizowahi kuangalia sikuzimaliza na wala sikuzipenda, so to me kim nana is the best.
Ila hata hivyo ile avatar ndiyo ilikuwa inakufanya uonekane mpole bhana, hizi nyingine zinafanya tunakuogopa. [emoji16][emoji16]
Teh, akili zangu za usiku hizi. [emoji41][emoji41]
Hahahaha[emoji16][emoji16][emoji16]. Kumbe na wewe mkorofi eeeh!?
...you are right 100%
Unaupata na ule unaitwa Ngobhokela Mwikemo Malafyale ??Naloli naloli mwe naloli mwe naloli
Uswe tuli gwabhuke tukumoghela mu ngamu ja Jesu
Mughonile mwesa
Ndaga ngubhaponya nikubhaponya mu ngamu ja Jesu
Naloli naloli
Ndagha mwe bhaambwene
Ndagha gwa mwaitwghe mwe mubhombile imbombo ya kyala
Ndagha gwa mwang'onda mubhombile imbombo ya Tata
Naloli naloli
Kangi mbilike bhaliko bhone na bhangi
Ningubhapon'ya mungamu ja Yesu
Na nine kwiminga kwa Tata umwelu nikuti ndagha fijo naloli
Asolile une na nine nguswigha kangi naloli ngujobha fijo naloli
Popapo ngwimbagha mungamu ja Jesu ndisa kuleka une naloli naloli naloli
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo muongo tu na yeye, wengi husema ile ndiyo nzuri kwahiyo wengi wape. [emoji85][emoji85][emoji16][emoji16][emoji16] Ngosha The Don anadai nikiweka ile ndio ananiogopa wewe unasema nikiweka ile ndio nakuwa mpole nishike lipi?
Hii I'd bwana origin yake nyanda za juu kusini hukoHuyo muongo tu na yeye, wengi husema ile ndiyo nzuri kwahiyo wengi wape. [emoji85][emoji85]
Halafu huwa natamani sana nijue hii id yako origin yake ni wapi, it's a nice name. Mie naona limekaa kisauzi si kisauzi, kiganda si kiganda yaani halichezi mbali na hapo. [emoji4][emoji4]
Probably ruvuma hasa songea kwa wangoni, na kwenye history nakumbuka tulisoma asili ya wangoni ni afrika kusini.Hii I'd bwana origin yake nyanda za juu kusini huko
[emoji23][emoji23][emoji23] daah hapana aisee, hii kitu ukinga hiiProbably ruvuma hasa songea kwa wangoni, na kwenye history nakumbuka tulisoma asili ya wangoni ni afrika kusini.
Basi ndiyo maana, khantwe.
Naloli naloli mwe naloli mwe naloli
Uswe tuli gwabhuke tukumoghela mu ngamu ja Jesu
Mughonile mwesa
Ndaga ngubhaponya nikubhaponya mu ngamu ja Jesu
Naloli naloli
Ndagha mwe bhaambwene
Ndagha gwa mwaitwghe mwe mubhombile imbombo ya kyala
Ndagha gwa mwang'onda mubhombile imbombo ya Tata
Naloli naloli
Kangi mbilike bhaliko bhone na bhangi
Ningubhapon'ya mungamu ja Yesu
Na nine kwiminga kwa Tata umwelu nikuti ndagha fijo naloli
Asolile une na nine nguswigha kangi naloli ngujobha fijo naloli
Popapo ngwimbagha mungamu ja Jesu ndisa kuleka une naloli naloli naloli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah anaitwa Shark πHivi yule samaki anaitwaje?
Mimi huwa naona tu ameachama halafu ana majino mengi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka uwe vipi? Mbona upo kawaida tu