Umemuona?Tafuta Paka kwenye picha View attachment 1411509
Tayari nishamuonaUmemuona?
Hiyo kweli ndefu mimi mwenyewe sikuimaliza ilinichoshandefu sana....
season 1 pekee imebeba episode 22.
Sijui kamelimwa ban ya wiki moja, mbili au ya mwezi mzima? Zile tafiti zinahitajika aisee...Tuombe kaachiliwe mapema na tukashauri kapunguze ligi [emoji16][emoji16][emoji16]Haka ka Numbisa, jamani tumekamisi! [emoji24]
songa nayo huko mbeleni ndio utamjua vizuri huyo mzee..mjanja mjanja mwenye kujua kila kituwewe muhuni.
huyu reddington mbona anawafanya FBI waonekane ni mafala
kuna uhusiano gani uliopo kati ya huyu mzee na binti profiler (keen)songa nayo huko mbeleni ndio utamjua vizuri huyo mzee..mjanja mjanja mwenye kujua kila kitu
Sijamuona badoTayari nishamuona
Pole kwakeSijui kamelimwa ban ya wiki moja, mbili au ya mwezi mzima? Zile tafiti zinahitajika aisee...Tuombe kaachiliwe mapema na tukashauri kapunguze ligi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1411569
Nitajitahidi nipate huo ujasiriVipi mbona umecheka? Au huji kunipokea?