The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Salama Moudy, khabari yako.!!
Asubuhi ya kukohoa
Kapewa kona anataka kupiga free kick[emoji23][emoji23]Alileta ujanja wake mbele ya Mourinho akashtukiwa mapema sana 😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkatalunya naona una dance nao mambo ya kikohozi si Corona [emoji16]
Kwendaa
Oops! We ran into some problems.
You have been banned for the following reason: Mwezi jana nilianzisha uzi wa namna hii mods fasta wakaufuta shuaini zao. Your ban will be lifted on Apr 8, 2020 at 12:00 AM.
Mie kabla sijajiunga Jf, nilipitia sana huu uzi, nikapokelewa na full vicheko amani telee, mbadilishano wa mawazo huru...moja kwa moja nikaweka kambi humuHii thread acha tu najuta kuchelewa kuifahamu, watu wanaojifanya wana akili wanatubeza mimi huwa nawaangaliaa nasema hiiii
Achilia mbali zile B tatu unazotakiwa uwe nazo kama player, pia kuna hii B ya nne yani Ball dancer nayo muhimu sana inasaidia kwenda sawa na kila timu unayokutana nayo 😀😀😀Mkatalunya naona una dance nao mambo ya kikohozi si Corona [emoji16]
😀😀😀Hahahah
Nilitaka kuandika habari yako Moudy...nikakumbuka Mudy
😂😂😂😂😂😂 shwain zakeKapewa kona anataka kupiga free kick[emoji23][emoji23]
[emoji28] [emoji28]
Hii thread sijui ina nini kila anayeingia humu ndani ananikuta either nacheka ama natabasamu, mpaka wanashangaa, Leo una nini mbona una furaha hivyo.?
Ajabu wakiuliza badala niwajibu ndiyo naangua kicheko,
Huwa nahamia kenya talk. Kisha nadownload draft(checkers) nacheza mwenyewe nikiwa free hapo bado movies zinanisubiria. Jf kupita ki anonymous hainogi mwishowe utajikuta unafungua fekero[emoji16] hivi aunt ukipigwa ban, unaishia kuwa Guest viewer au.? Unawezaje kuishi bila JF wiki nzima[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Ooh hapo sawa....Kweli Jf ukiendekeza anonyomous lazima uangukie fyekero.....Nakuja unifundshe draft[emoji2088]Huwa nahamia kenya talk. Kisha nadownload draft(checkers) nacheza mwenyewe nikiwa free hapo bado movies zinanisubiria. Jf kupita ki anonymous hainogi mwishowe utajikuta unafungua fekero
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakusubiria very interesting gameOoh hapo sawa....Kweli Jf ukiendekeza anonyomous lazima uangukie fyekero.....Nakuja unifundshe draft[emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kijukuu cha Farao kimetoka kifungoni basi ni shida tu 😀