Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Achilia mbali zile B tatu unazotakiwa uwe nazo kama player, pia kuna hii B ya nne yani Ball dancer nayo muhimu sana inasaidia kwenda sawa na kila timu unayokutana nayo [emoji3][emoji3][emoji3]
Nipo karantine[emoji41], ntamuagiza DSh. 50 tu kwa Mangi
Angalia tu, shida ako si ilikuwa kuona?Ni nin kutamanishana[emoji57], unajua mpaka leo naangalia ile bakuli ya supu
Wacha bana πππNipo karantine[emoji41], ntamuagiza D
πΆββοΈπΆββοΈAngalia tu, shida ako si ilikuwa kuona?
haaa, CEO mkatalunya ndio kaelewa zaidi
Hahhahahaa..!Hii thread acha tu najuta kuchelewa kuifahamu, watu wanaojifanya wana akili wanatubeza mimi huwa nawaangaliaa nasema hiiii
Hahahaa.Aseee,natamani nione hilo tabasamu
Salama salimini Bw. Moudy.!Njema, za kwako
No comentππAtakuelewesha vizuri [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Lakini
π π π πAnkoo kipimo cha corona tu nakiogopa hivyo vingine nitaviweza?
Ankoo kama unanipenda utanilinda, hao watu achana nao [emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzi mtamu kwa kuondoa stress
Embu utendee hapa huo muujiza alafu nitamuhadisia tu badae πHahahaa.
How serious are you? Naweza kukutendea muujiza eti.!
πππππ π π π
'Kukupenda nakupenda kweli, sikatai, uwepo wako ni mzuri maishani nafurahi..! Ila yamoto, yamoto mapenzi'..!!
I'm just singing tusijemkuta Davet kajitundika.!
Ulijua Nini?Nilijua tu ππ
anakuwa customer care[emoji16] hivi aunt ukipigwa ban, unaishia kuwa Guest viewer au.? Unawezaje kuishi bila JF wiki nzima[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Nilijua hiyo post ya siksi paki itakufurahisha maana umekua ukiishikia sana bango..... πUlijua Nini?
Embu tuone kwanza hizo siksi paki
πππππππππππNilijua hiyo post ya siksi paki itakufurahisha maana umekua ukiishikia sana bango..... π
Tuhesabu adi 3