Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah! Tumemalizana yale madeni sasa hivi hunidai tenaTatizo nipo hapa na mtoto..yaani Hadi ninyang'anye simu ndo nichat..halafu Mimi nilifungu browser badala ya kubaki kwenye liapp langu[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
NakudaiHahah! Tumemalizana yale madeni sasa hivi hunidai tena
Kumbe watumia App? Browser ndio ipo gud sana ujueTatizo nipo hapa na mtoto..yaani Hadi ninyang'anye simu ndo nichat..halafu Mimi nilifungu browser badala ya kubaki kwenye liapp langu[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂nawakumbusha tu jamani:
hivi sasa ni saa 6:04 kwa saa za Tanga mjini....
mzee wetu myoyambendi bado hajatolewa nje na mama kibuno
Mimi browser siwezi kabisaKumbe watumia App? Browser ndio ipo gud sana ujue
💥Kumbe watumia App? Browser ndio ipo gud sana ujue
Ahsante.....🍉😂 😂 😂
Here we go bbygirl.!View attachment 1412431
Itakua mazoea tu, mimi nilikuaga natumia App zamani ila baada ya kuanza huku kwenye browser nikaifuta App yenyewe mana niliona taka tu
Browser ngumuItakua mazoea tu, mimi nilikuaga natumia App zamani ila baada ya kuanza huku kwenye browser nikaifuta App yenyewe mana niliona taka tu
Daladala
Unapenda kweli Milkshake 😀😀
Sana tu.Unapenda kweli Milkshake [emoji3][emoji3]
App ndio ngumu alafu watumiaji wa App malalamiko hayawaishi kila leo, mara hampati notifications, mara hamuoni picha, mara sijui nini?
Ice cream za chocolate zinapatikana huko kwenu?
Notifications Mara ya mwisho kupata February..kuona picha kuna muda na mudaApp ndio ngumu alafu watumiaji wa App malalamiko hayawaishi kila leo, mara hampati notifications, mara hamuoni picha, mara sijui nini?
Zipi ?Ice cream za chocolate zinapatikana huko kwenu?
Nasubiri hiyo miujiza nione hilo tabasamuHahahaa.
How serious are you? Naweza kukutendea muujiza eti.!
Aisee kumbeMie kabla sijajiunga Jf, nilipitia sana huu uzi, nikapokelewa na full vicheko amani telee, mbadilishano wa mawazo huru...moja kwa moja nikaweka kambi humu
Salama salimini Bw. Moudy.!
Najiona nikitabasamu tu hapa.!!