Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Siunaona sasa shida kama hizo mkiziongelea sisi tunawashangaa tu alafu hkiachana na *kuLike* sisi tuna Thanks, Hahah, Wow, Dislike pia tuna loveNotifications Mara ya mwisho kupata February..kuona picha kuna muda na muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo kwangu sioni km za maana SanaSiunaona sasa shida kama hizo mkiziongelea sisi tunawashangaa tu alafu hkiachana na *kuLike* sisi tuna Thanks, Hahah, Wow, Dislike pia tuna love
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo Msemo na picha yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1412411
nawakumbusha tu jamani:
hivi sasa ni saa 6:04 kwa saa za Tanga mjini....
mzee wetu myoyambendi bado hajatolewa nje na mama kibuno
Ile ni chochote kama chochote sasa kuna ice cream zake
BroHahaha, hebu fanya kunionyesha tabasamu lako
LolIle ni chochote kama chochote sasa kuna ice cream zake
Wagundue wapi, ndio kwanza wanalilia lockdownHahhahahaa..!
Unamaanisha hawa wenye akili kutuliko??
Kwahiyo wameshagundua dawa ya covid-19 mpaka sasa.!?
Hata kwetu hazina maana sana sema nakuonyeshea tu jinsi tulivyozidishiwaHizo kwangu sioni km za maana Sana
Sijui love, hahaha
Notifications nishazoea
Sent using Jamii Forums mobile app
A wapiHata kwetu hazina maana sana sema nakuonyeshea tu jinsi tulivyozidishiwa
Ila zile kama Carba alipost zipo?
Kuuliza si ujinga, hivi hizo ndude ukutani hapo huwa zinashikiliwa na nini eti
Zile chocolate zipoIla zile kama Carba alipost zipo?
Nataka nikupe maujanja mengine
Admini naomba kuleft hii topicA wapi
App muonekano wake Ni mzuri
Kwanza Ni rahisi kuangalia threads
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuuliza si ujinga, hivi hizo ndude ukutani hapo huwa zinashikiliwa na nini eti
ππππ