ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Hahahaha acha tuna pata mlike kwanza!mods naombeni muufunge uzi huu maana hauna la maana sana ila sivi page ya 560 jana tuu! zipo thread za maana lakin coment hata mia hamna? watanzania kweli mambo ya ujinga ndio tunayoyapenda ila ya maana hata kuyasoma ni mbinde!! so sad!