moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nawatakia pasaka njema nyooote,
Jana umenichomesha mahindi Hadi saa7Tusubiri utulivu tu upatikane
Manzi aliyenae sasa hivi alimuelewa jamaa zaidi baada ya kusikia hiyo kazi, anasema alimuonea huruma jamaa kalalamika sana πKama vile yalimtokea
Tatizo lenu tukifanya kuwaeleza hisia zetu mnatuona mal***Hivi unawezaje kunyamaza wakati mwanaume unampenda?
Ukimpenda mtu mueleze kama hataki basi.
Mbona wanaume huwa wanajitoa kufikisha ujumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
ππ kweli?Manzi aliyenae sasa hivi alimuelewa jamaa zaidi baada ya kusikia hiyo kazi, anasema alimuonea huruma jamaa kalalamika sana π
Hapo kwenye kunawa mikono pananishinda mtani[emoji23][emoji23]hahahahahahahah
Wkend njema huko.Hakikisha unanawa mikono [emoji3][emoji3][emoji3]
πππππππππππππππ.Dah!Salama salimini bro.
Safari njema aisee.